Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Feb 2, 2013 #1 Habari bandugu wa Jf,wizara ya afya na ustawi wa jamii inakaribisha maombi ya kujiunga na course mbalimbali zitolewazo na vyuo vilivyo chini yake,kwa maelezo zaidi tembelea hapa
Habari bandugu wa Jf,wizara ya afya na ustawi wa jamii inakaribisha maombi ya kujiunga na course mbalimbali zitolewazo na vyuo vilivyo chini yake,kwa maelezo zaidi tembelea hapa
F Fruit Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 193 Reaction score 54 Feb 2, 2013 #2 Hivi wauguzi na wakunga waliohitimu August 2012 ajira zao zinatoka lini? mwenye kufahamu!
M mwitu JF-Expert Member Joined Jun 22, 2012 Posts 856 Reaction score 200 Feb 2, 2013 #3 ajira zenyewe hawatangazi!