Mafunzo kwa vitendo (BTP) kwa walimu tarajali yafutwa rasmi

mapambanodaima

Senior Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
108
Reaction score
15
Kwa kile kinachoonekana mwendelezo wa ubabaishaji katika sekta nyeti ya elimu walimu wanachuo wa cheti na stashahada ya elimu hajaenda kwenye mafunzo kwa vitendo na haieleweki nn kinachoendelea wakati muda wao wa mafunzo unaisha maana tarehe 5 mwezi wa 5 wanaanza mitihani ya kuhitimu mafunzo yao.

BRN hoyeeeeeeeee
 
BRN ya sasa ni kuandaa mwalimu kwa njia ya mafunzo (BTP) kwa siku 21 ambazo zilifanywa mwaka wa jana
 
weka waraka wa kuyafuta mkuu sio porojo tu.
 
Jamani samahani kwa kudandia uzi nina ndugu yangu ameomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma masomo ya sayansi je vyuo vya ualimu kuna boom? Na ningependa kujua na kiasi kwa anaefaham.
 
Jamani samahani kwa kudandia uzi nina ndugu yangu ameomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma masomo ya sayansi je vyuo vya ualimu kuna boom? Na ningependa kujua na kiasi kwa anaefaham.
HAKUNA.....boom ni kwa degree, elewa maana ya HESLB
 
Serikali imegoma kuwapeleka walimu wanachuo field,sababu eti haina pesa,kweli???
 
sijui wanaosimamia sector hii wanaipeleka wapi elimu yetu. ufisadi wa pesa ndio umefanya wasiende vitendo kwa mafuzo, escro imefilisi.
 
Jamani samahani kwa kudandia uzi nina ndugu yangu ameomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma masomo ya sayansi je vyuo vya ualimu kuna boom? Na ningependa kujua na kiasi kwa anaefaham.

hakuna boom zaid ya ada ambayo ni 600000
 
Yani hii sekta me nashndwa kuielewa kabsa,toeni tamko kama vjana wataenda ln tp,maana mpaka sas vyuo vnashndwa kupangilia ratba zao vzur kutokana na huu mkanganyko..wahusika toen tamko kama wataenda au la! ili ratba zkae sawa..
 
Kama ulitegemea miujiza pole. Engineer na Lawyer ndiyo wanaoongoza elimu na hayo ndiyo maono yao
 
yapu boom lipo. wameanza kutoa kuanzia mwaka ulipita. kama kafaulu vizuri subiri application zitakapotangazwa

thanks mkuu, nacte walitangaza awamu ya pili ya application wanachosubiri ni kupangiwa tu.
 
Si ya kweli!!!!!! Degree kwenyewe boom ni msoto leo watanue uwanja mpaka vyuo vya ualimu?
 
unafahamu maana ya neno rasmi?
 
Jamani samahani kwa kudandia uzi nina ndugu yangu ameomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma masomo ya sayansi je vyuo vya ualimu kuna boom? Na ningependa kujua na kiasi kwa anaefaham.

If could be at UDOM, could be pocbo!
Ipo Udom tu kw ajil ya special dploma kwa masomo ya sayansi wanapew 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…