Mafunzo kwa vitendo (BTP) kwa walimu tarajali yafutwa rasmi

Jamani samahani kwa kudandia uzi nina ndugu yangu ameomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma masomo ya sayansi je vyuo vya ualimu kuna boom? Na ningependa kujua na kiasi kwa anaefaham.

hakuna boom ila wanapewa mkopo wa ada tu
 
sijui wanaosimamia sector hii wanaipeleka wapi elimu yetu. ufisadi wa pesa ndio umefanya wasiende vitendo kwa mafuzo, escro imefilisi.
Hapa kinachoonekana ni msigano wa wazi kati ya viongozi wa wizara ya elimu na viongozi wa baraza la ufundi Nacte. Leo hii vyuo vimefungwa ghafla kuwa hakuna chakula je bado matumaini ya BTP yapo? Mbaya zaidi viongozi wenye dhamana wapo kimya hawasemi chochote si wizara wala nacte. Wakuu wa vyuo wanafanya maamuzi ya kufunga vyuo sababu kubwa wanayotoa ni chakula hakuna. Butimba Bunda Bustani wameshafunga na vingine vinafuata
 
jaman elimu ya tz imekuwa ni gumizo maana mafunzo ya walimu kwa vitendo haieleweki ndo kuandaa mwalimu bora au bora mwl.
 
tusipo watoa mapema mwaka huu tutalia sana,..

wanafuta kila kitu afu wao wanamfwata fisad mwenzao balal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…