Tazama mafunzo kwa vitendo upate uelewa mzuri kama ulikuwa unafuatilia mafunzo ya Java
Video ya SOMO la kumi imekuwa ndefu sana kutokana na umuhimu wa kipengele katika Java Programming Language na mafunzo ya software development View: https://youtu.be/AqaUHU3imSE?si=ob7fOQ4SsyhCcDCX