mafunzo mafupi kwa graduate kupata waalimu wengi haraka

mafunzo mafupi kwa graduate kupata waalimu wengi haraka

mamabaraka

Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
92
Reaction score
14
serikali kila siku inalalamika uhaba wa walimu, mi mtazamo wangu watu wengi tumemaliza vyuo na tuko mtaani tunasota hatuna kazi. Kwa nini serikali isifikiri kutoa training fupi kwa graduate wa chuo yeyote aliye tayari hata miezi 3, au sita harafu wakawaajiri kama waalimu wa sekondari? Ni mtazamo wangu.
 
Nani kakwambia kua hakuna walimu wa kutosha, wangekua hawatoshi s wangeajir wote? Mbona walimu mahiri 2po mtaan tu tunasota? Ccm haina nia njema na nchi hii. Inaonekana viongoz wetu ni mamruki wote!
 
Kwa nini usingesomea education ndugu ueleweke kama ni mwalim sasa hujui hapo pesa inahitajika.
 
Walimu wapo wengi sana mtaani ndugu yangu,ila serikali yetu haina nia ya dhati ya kusimamia suala la elimu,wamejaza politiki kila kona hata katika mambo muhimu ya taifa hili
 
Ualimu ni zaidi ya maalifa(subject matter)so hilo unalosema lilisha fanyika(induction course)kwa fm6 leavers.ikaonekana kupingwa kila kona
 
sasa kama walimu wapo wanasota kutafta kazi kwa nini wanasiasa wanaimba tz kuna uhaba wa walimu badala kuajiri waalimu? Unakuta shule ya kata ina walimu wawili. Ny sielewi Tanzania kizazi cha wanetu itakuwaje kama leo hii hali ipo hivi.
 
Back
Top Bottom