Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Habar jf? Bila shaka nyie ni wazima wa afya! Kabla ya yote nitakuwa si mwenye busura, nisimpomshuku Mungu mwenye enzi, na vitu vyote vimekuwepo kwa ajili yake.Nina ndugu yangu ameshindwa kufanya kazi. Kutokana na mtaji wake ni mdogo. Lakini hata hivyo nimemshauri aangalie eneo aliloko ni kitu gani anaweza kukimotor.mwishowe kadai angependa kusindika pombe ya kienyeji aina ya mbege. Kwa maana hiyo anahitaji kuihifadh katika chupa! ila mafunzo yoyote hana! NAKUOMBENI KWA TAADHIMA MWENYE UJUZI KIDOGO AUDONDOSHE HAPA! Wenu Katika Jamiiforum Kutoka Arusha!