Hapa naona kuna vitu viwili
1. Kuihifadhi, hapa anabidi afanye uchunguzi kidongo, yaani vipimo vipi inabidi atumie katika kuihifadhi hio mbegu, kuna hii kitu mimi huwa naitumia katika kupresave wine nayotengeneza inaitra citric acid, mfano katika 20lts huwa natumia kijiko kidogo cha chai kimoja, na kama huna hio citric acid unaweza kutumia malimau 6 hapa namaanisha juise ya,hayo malimau 6
2. Packing, hapa kuna,ishue maana inategemea na wewe mwenyewe uwezo,wako,kifedha, ila nigekushauli kuanza na kurecycle chupa za plastic za maji madogo hsdi pale mwenyewe utaona kuwa kimtaji ,unaweza kumudu kutengeneza chupa za kwako mwenyewe, but ukitimia chupa za glass ni,gari sana kwani kwa mtu,anayeanza ni vigumu,kumudu garama
Well huu ndo ushauri wangu mdogo,naoweza kukusaidia ndugu