Mafunzo ya biashara na kilimo cha kisasa kwa watu wa Morogoro

Mafunzo ya biashara na kilimo cha kisasa kwa watu wa Morogoro

shelumwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
516
Reaction score
189
Kwa watu ambao mpo morogoro fursa ya wewe kufanikiwa kimaisha inakuja tarehe 13 mwezi wa 6 mwaka 2015 endelea kunifuatilia mimi

kama upo morogoro mjini na hata kama utaweza kuwepo mjini siku hiyo nifanye kunijuza ili nikupe deal hilo la nguvu

litakalofanyika pale mountain urugulu hotels

hakuna kiingilio ni bureeeeeee

ila tu fanya kuwasiliana na kimi ili nikuwekee nafasi kwa kupata kipaumbele cha kuwa mualikwa wangu

asanteh! !!!!!!!
 
Dondoo muhimu mkuu hata tulio mbali tunaweza kuhamasika kufika ikiwa tunajua tutafuata nini.
 
Dondoo muhimu mkuu hata tulio mbali tunaweza kuhamasika kufika ikiwa tunajua tutafuata nini.

kaka ni kweli ufanyalo lakini kwa kuwa ni mafunzo ya masaa kadhaa ni bora ujitahidi ufike hotel maana ni kama masaa 5 sidhani kama naweza summarize kwa hapa
 
kaka ni kweli ufanyalo lakini kwa kuwa ni mafunzo ya masaa kadhaa ni bora ujitahidi ufike hotel maana ni kama masaa 5 sidhani kama naweza summarize kwa hapa

Hahahaaaa, unasema bure halafu mtu akifika unamwambia achangie hela ya vifaa ama mafuta ama kemikos, teh teh. . . kunaugum gani kusema tutafundisha kusindika karanga au muhogo? kuficha huku kunakitu nyuma ya pazia
 
topic zipi zitazungumzwa mkuu ili upate watu makini ilivyo it is too general utakosa watu japo ni bure
 
topic zipi zitazungumzwa mkuu ili upate watu makini ilivyo it is too general utakosa watu japo ni bure

jinsI ya kupata wazo la biashara

jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo

kilimo cha kisasa na mengine mengi
 
Mwisho lini maana ndio nimeona hiyo kitu Leo mkuu nijulishe 0715548883
 
Back
Top Bottom