Uwa wanatangaza nafasi za kujitolea JKT baadhi ya miaka, unapitia mchujo kuanzia wilayan,mkoani then unapangiwa kambi utakayoenda, sema kujitolea mara nyingi ni miaka miwili.Kwa hiyo Kuna kwenda kwa hiari siyo?
Utaratibu unakuwaje?
Asante kwa ufafanuzi bossUwa wanatangaza nafasi za kujitolea jkt baadhi ya miaka, unapitia mchujo kuanzia wilayan,mkoani then unapangiwa kambi utakayoenda, sema kujitolea mara nyingi ni miaka miwili.
Ukiwa na mtu mzito wa kukupeleka autaangaika na michujo utaripoti kambini moja kwa moja.
Sema siku hizi kujitolea hakuna faida waweza poteza muda bure na usipate ajira yoyote nzuri.
Kama amechaguliwa na angeweza ni her aende tu hii mujib ya miez mitatu
Shukrani bossKijana asome, hilo ndilo la muhimu kwa sasa.
Nafasi za kujitolea zikitoka ataomba kupitia ofisi ya Mkuu wa wilaya huko ulipo.
Akikosa, mwakani majina ya Form Six yakitoka naye aende Makao Makuu ya JKT, Dodoma.
Wale wanavyopenda nguvu kazi, watamtupa kwenye kambi za kilimo. Akahenyeke huko.
Hivi ili mtu awe mwanajeshi anatakiwa kusomea fani gani?(Mimi sii mjuzi wa haya Mambo)Kijana asome, hilo ndilo la muhimu kwa sasa.