Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,940
- 1,055
WANA JF mkiwa kama wadau wa habari za kuaminika nilikuwa naomba kujuzwa kwamba kama nafasi za kujiunga na JKT au polisi zimetoka kwani viongozi wangu wa kijiji ambao nawategemea wanipe habari hizi hawaeleweki . Pia naomba kujua na mwisho wa kutuma maombi kama nafasi zimetoka. Natanguliza shukurani kwenu.