Mafunzo ya karate kwa watoto

Nenda kajaribu Jumba la Utamaduni la Urusi Upanga karibu na Aga Khan Hospital. Nakumbuka miaka ya mwishoni mwa 90 walikuwepo pale.
 
Salamu kwa wote- kwa yeyote anaefahamu sehemu wanayofundisha mafunzo ya karate kwa watoto anijuze tafadhari- itapendeza zaidi sehemu hiyo ikiwa - Upanga- kisutu- au Ilala.
Nenda Ilala boma pale ulizia, yupo sensei Mgeni
 
ukiwa unafundishwa karate unafundishwa na adabu zake sio kuchokozwa kidogo tuu unaanza kuwatandika wenzako
kuna shule wanafundisha vizuri tuu ila nchi yetu hii mara utaambiwa ni g...i.
Bora niishie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…