Mafunzo ya ngumi za kareti!

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu,

naomba kujuzwa anayefahamu sehemu wanayotoa mafunzo ya kareti kwa hapa Dar es salaam, mimi naishi Tegeta, na kama sehemu ikipatikana naomba kujuzwa pia kiasi cha hela kinacholipwa kwenye hayo mafunzi! natanguliza shukurani zenu wakuu!
 
Na mimi Pia nisaidieni mafunzo ya COMBAT pia ! Pamoja na Ada yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…