Mafunzo ya uagizaji wa bidhaa China yatafanyika tarehe 26 Aprili, 2022

Mafunzo ya uagizaji wa bidhaa China yatafanyika tarehe 26 Aprili, 2022

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Mafunzo ya uagizaji wa bidhaa kutoka China kwa wajasiriamali wadogo yatafanyika tar 26 April kwa Google Meeting

Kupitia mafunzo haya utaweza kufahamu yafuatayo:

1. Namna ya kupata wauzaji wa jumla wa bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu kutoka China
2. Namna ya kuwasiliana na wauzaji hao na kupata punguzo zaidi la bei
3. Namna ya kusafirisha bidhaa zako kutoka China hadi zinakufikia Tanzania kwa bei nafuu
4. Namna ya kufuatilia mzigo wako umefikia hatua gani
5. Kufanya makadirio ya gharama za mzigo, usifirishaji , na faida.
6. Namna ya kufanya maamuzi ya njia sahihi ya kusafirisha bidhaa zako
7. Kuunganishwa na wauzaji wa jumla China
8. Kuunganishwa na wasafirishaji wa bidhaa kutoka China kuja Tanzania
9. Tutaweza kukusimamia kwa kila hatua hadi utakapo agiza na kupokea mzigo wako wa kwanza.
10. Namna ya kutangaza kwa faida na kuuza bidhaa zako kidigitali
11. Kushughulikia masuala ya KODI/TOZO/VAT

Mafunzo haya yatagharimu 50,000 TZS tuu jiandikishe kwa kujaza hii fomu Mafunzo ya kuagiza bidhaa kutoka China kuja Tanzania
 
Siku za mafunzo zimekaribia bado tunaendelea kupokea usajili wa washiriki.
1650290159584.png
 
Back
Top Bottom