Mafunzo ya ufugaji samaki online

Mafunzo ya ufugaji samaki online

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habari wadau

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa .

Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua mbegu nzuri . Dalili za hatari za samaki na kuzizuia .

Na mengine mengi sana usisite kunichek
 
Back
Top Bottom