Mafunzo ya ujasiliamai kadili ya taaluma yako

Mafunzo ya ujasiliamai kadili ya taaluma yako

Mr II

Senior Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
158
Reaction score
17
HI.Wana JF nadhani kila mtu anajua kuwa ukitaka ufanikiwa lazima uwe mbunifu na utumie taaluma yako kupata pesa. Kwa bahati mbaya wengi mafunzo tuliyopewa huko tulikosoma yalikosa kipengele cha namna ya kutengeneza pesa kadili ya taaluma au ujuzi uliyosomea. ADE Associates Ltd sasa inatoa mafunzo hayo. Hapa tunamaanisha kwamba tafundisha Ujasiliamali kadili ya taaluma yako. kwa mfano wewe ni mwalimu, daktari, mwasibu, fundi machenica, mwashi tutakufudisha namna ya kufanya taaluma yako ikuletee pesa baadala kusubiri ajila au kutegemea ajira tu kwani hata ajira maslahi nayo huwa hayatoshi. Katika maisha cha maaana siyo kuwa na ujuzi tu bali kutumia ujuzi huo ukuletee pesa. Kumbuka Kama uliwekeza kwa kununua elimu au ujuzi, hakikisah hiyo pesa inarudi. Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa na +255 689 417 472
 
Back
Top Bottom