Mafunzo ya utengenezaji Sausages na vitu/vifaa vya kutengeneza

Mafunzo ya utengenezaji Sausages na vitu/vifaa vya kutengeneza

Rukia

New Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
4
Reaction score
0
Wanajamii nielekezeni jinsi nitakapopata mafunzo yauzalishaji wa sausages, upatikanaji wa vitendea kazi vya pia kama unaushauri wowote kuhusu uzalishaji wa sausages kwa small scale.
 
Jaman ukipata mtu wa kukufundisha nami nahitaji,na ice cream pia kama zile za azam.
 
Rukia

Google utapata kila kitu online had youtube zipo
 
Back
Top Bottom