Mafunzo ya veta

Mafunzo ya veta

Mrdash1

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
336
Wana JF kama kuna member anajua wapi panatolewa mafunzo ya VETA ya Kilimo naomba anieleweshe tafadhali. Nahitaji kujua pia mafunzo yanachukua muda gani na gharama zake. Maeneo ninayoyataka ni kilimo (matunda na mboga mboga), Ng'ombe wa maziwa na nyama, Kuku wa mayai na nyama pamoja na ufugaji wa samaki.
 
Back
Top Bottom