Mafuriko Kedah

pamiho

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
271
Reaction score
36
Mvua zilizonyesha kwa muda wa siku 4 mfululizo zimesababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa eneo la Kedah nchuni Malaysia kama inavyoenekana ktk kielelezo nichoambatanisha.

Chanzo ni mimi mwenyewe nikwenda huko kwa matembezi.
 
Attachments

  • mafuriko balaa.jpg
    52.7 KB · Views: 110
Malaysia, its country with heavy endless raining throughout the year. So its somehow expected, the get to these problems everynow and then.
 
Iweje wewe ni chanzo...hapo pagumu ndugu

Nimekubali madameX
Kiswahili kigumu sana...chanzo cha picha siyo mafuriko...

Umesababisha nimecheka ingawa sijui nitatokaje ktk eneo hili baada ya barabara na uwanja uwanja wa ndege kufungwa.
 
Mvua zilizonyesha kwa muda wa siku 4 mfululizo zimesababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa eneo la Kedah nchuni Malaysia kama inavyoenekana ktk kielelezo nichoambatanisha.

Chanzo ni mimi mwenyewe nikwenda huko kwa matembezi.

Kumbe wewe ni kati ya wale milioni 12 ambao hamjapiga kura ? tusisikie ukiilalamikia serikali, mi niliahirisha safari muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…