Mafuriko Kiboroloni Moshi, maji yaja kwa vishindo

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
O6 May 2025
Kiboroloni

Mto wafurika na kuleta maafa mjini Moshi


View: https://m.youtube.com/watch?v=kmQ_Uwh_r-g
Mkazi wa Kiboroloni rastaman Kimambo aomba serikali inyooshe mto ili eneo hilo liwe kama la Majengo kwa Mtei ambapo kona za mto zilichongwa na kunyooshwa hivyo kuepusha matatizo ya mafuriko Kiboroloni..
 
Watu wangu wa Majengo mtaa wa Shauri Moyo najua wapo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…