Uchaguzi 2020 Mafuriko ya Dkt. Charles Kimei jimbo la Vunjo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nicheke tu, au muda ulikuwa bado? Ila jamaa kitasa itakuwa, pesa zote zile kashindwa kuwanunulia wananchi ubwabwa[emoji2960]
 
Kamsa kamrai huyo lazma ashinde. Aliahidiwa kazi alipokuwa anastaafu CRDB
 
Yani majasho unampigia kampeni na bado unamnafikia huku

Ngoja kama hiyo tenda hatukunyang'anyi
 
Kumbukeni alifungua branch ya CRDB huko Chatto ili kujipendekeza kwa Jiwe ingawa kulikuwa hakuna biashara; na imewalazimu kulifunga lile tawi kwani ni hasara tupu!!!
 
wampe kura zote maana naskia anataka kugeuza vunjo iwe kama toronto
 
Huyu anatakiwa kupigwa chini ili akasimamie tawi la CRDB Chato. Ila Vunjo bora jimbo libaki wazi kuliko kumpa yule Lialia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…