Kenya inaipa Tanzania soko kubwa LA vyakula lakini watanzania naona hawadhamini ule uhusiano, wanawadharau wakenya sana. Imemfaidi vipi magufuli kufunga biashara ya kuuza bidhaa za shamba nje ? Anawatesa wakulima tu!!
we ni wa moshi na mwanza unafanya kazi?Nipo kikaz mza
Chunguza aliemuuzia ni mwanaume au mwanamke!!! [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Kawa sasa mikoa ya Arusha na Moshi ambapo vitunguu vinalimwa kwa wingi kumeanza kuwa na mafuriko ya vitunguu masokoni. Wakulima wanakosa wamuuzie nani. Serikali imediscourage exports hasa kwa jiranibzetu wakenya. Sasa tule vitunguu vyetu wenyewe. Wakulima wanatafta wakumuuzia hta kwa 40,000 ila wanakosa.
Leo mke wangu kanunua hivi vitunguu Arusha kwa sh 300.
Hapana mkuu, mimi nimeweka kumbukumbu sawa. Maana yeye mwenyewe kasema mkewe kanunua vitunguu hvyo kwa 300
Utakuwa msukuma wewe ndyo roho mbaya zenu izi.
Usijaribu mkuu utakula hasara vibaya maana mwezi wa nne singida na tabora inatoa na huwa vinakuwa na bei ndogo mno, kiujumla niseme tu kwa uzoefu maana hata mim mwenyewe ni mkulima wa vitunguu kwa miaka hii zao la kitunguu linaenda kupoteza soko maana wakulima wamekuwa wengi mno tofauti na miaka ya nyuma wengi walikuwa hawajagundua, siku hizi kila sehemu wanalima mfano kanda ya ziwa wanalima pembezoni mwa ziwa wanavuta maji na water pump msimu mzima tofaut na zamani ambapo kuanzia mwez wa 12 had wa pili ilikuwa hupati kitunguu kipya sokoni bali ni vile vilivyohifadhiwa lakin siku hizi nenda mwezi wowote sokoni utakutana na kitunguu kipya ndiyo sababu bei inaporomoka kila siku. Ushauri wangu kwa wakulima wenzangu tusitegemee zao moja tulime mazao mengi hasa nafaka kwa kipindi hiki maana mahitaji ya chakula yanaongezeka kila siku tofauti na zamaniVipi mtu akiamua anunue aweke stock ili mwez wa nne auze si vitakuwa vimepanda?
Mkuu, hii nikweli? soko gani huko naweza kupata gunia kwa 25,000; Kama kunamfanyabiashara unayejuana naye wahuko tafadhali ni connect naye, nina soko kubwa nje ya nchi.Mbeya gunia la vitunguu ni 25,000 tena inaweza kushuka muda wowote
Niko hapa hata mimi nahusika piaMkuu, hii nikweli? soko gani huko naweza kupata gunia kwa 25,000; Kama kunamfanyabiashara unayejuana naye wahuko tafadhali ni connect naye, nina soko kubwa nje ya nchi.
Sio marahic kwako kwa wenzako wenye desire ya kweli ktka hilo wameweza na wanafanya................!!!can you hear yourself? mambo sio marahis kama unavosema wewe
I beg your pardon mkuu
okaySio marahic kwako kwa wenzako wenye desire ya kweli ktka hilo wameweza na wanafanya................!!!
lakini wew .,,go on staying in yur confort zone and relax,, make a smuth life, fearing difficulties ,,, pessa utaiskia kwa redio na kuiona kwa TV ,,,,, OVER....!!!
you dont know what your words mean? unafahamu kuwa tanzania ipo kwenye competitive disadvantage kusindika?Eeenh, ndo mkome kuuza raw,,, sindika,,, shda iko wapi??? unalima miaka 3+ bado uko kwenye raw??
Na mi nasema vishuke tu had tununue kitunguu kwa centi
Tafadhali ni PM number yako unayotumia whatsapp, nahitaji gunia 90.Niko hapa hata mimi nahusika pia
Nimesha kupm nambaTafadhali ni PM number yako unayotumia whatsapp, nahitaji gunia 90.
Pardon mkuu sio panadooo.panadooo au pardon kiingilish kigumu
you dont know what your words mean? unafahamu kuwa tanzania ipo kwenye competitive disadvantage kusindika?