Mafuriko yaizengea nyumba mpya ya Diamond Tegeta

"Kabla ya ujenzi, kiwanja hiki kilikuwa na njia kuu mbili za maji ambazo wakati wa mvua, zilikuwa zinatiririsha maji kuelekea bondeni, lakini baada ya ujenzi, nguvu ya yale maji yakadondosha ukuta.
"Sasa ukiacha ukuta uliobomoka mwanzoni, kuna njia nyingine ambayo inapitisha maji mengi zaidi ambayo inapita kwenye ukuta wake mwingine na tayari yameanza kuuchimba kwa chini. Mnaweza kuja kuangalia," alisema jirani mmoja aliyekataa kutaja jina lake.
 
Bora hata huyo ambaye nyumba yake tumeiona imezingirwa na maji!kuliko wengine ambao wanatuonyesha majengo ya kale

Namsubiri ivan amfadhili king amuwekee fanicha ndanii sio fanicha zile aisee
 
Teh teh too much negativity in mind ni hatareeeee sana tu. Hafu kei ndo nini ati! Mtu anakuaga alivo kulingana na ufikiri wake ulivyo tu.

Ha haa haaa! Yaani hutaki kuamini kwamba me na wewe tunaweza tukawa na the same idea, hiyo negativity unayoikazania sijua iko wapi.
Kei si 'kei fo rili' au unamkana king?
 

Aliekua anamuhoji ni nani!??
 
Namsubiri ivan amfadhili king amuwekee fanicha ndanii sio fanicha zile aisee

Thubutuuu!!mikopo amechukua na bado hatuoni hata kile cha kuzingirwa na mafuriko hana.Ivan aache kuwalipia ada wanawe amuekee yeye fenicha???
 

Acha ubwege wewe hata sisi wa Dar tunasoma kama wewe kwenye social media, nani mwenye muda mchafu wa kwenda nyumbani kwa mtu?
 
Wangesema kajenga juu mto sawa wacheni mtoto wa watu...

Mbona hawakusema ulipobomoka ukuta mnadhani watoa bima wajinga?

Nyumba ina bima hiyo mwacheni alale...

Una elimu yoyote ya mambo ya bima? Maana utachekesha hata walionuna.
 
Acha ubwege wewe hata sisi wa Dar tunasoma kama wewe kwenye social media, nani mwenye muda mchafu wa kwenda nyumbani kwa mtu?
Alivyoambiwa mwananyala amenunua kijiji akabweteka na sifa.
 
Shoga hata mimi sina utaalamu lakini huniuzii kiwanja sehemu ambayo siyo.
Kwanza nitaanza kufanya utafiti wa hilo eneo hata kwa kuwauliza majirani au wenyeji wa maeneo hayo.
Sio kila kitu kinahitaji elimu ya darasani.

Unni kama una mpango wa kununua kiwanja wakati wa kuangalia eneo ndio huu.. janga halina mwenyewe
 
Unni kama una mpango wa kununua kiwanja wakati wa kuangalia eneo ndio huu.. janga halina mwenyewe

Hata kupanga pia unni...
Aigoooo nimekumiss kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…