Mafuta bei juu Kenya, safari za nje za Rais Kenyatta zakosolewa

Mafuta bei juu Kenya, safari za nje za Rais Kenyatta zakosolewa

MASIGA

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
130
Reaction score
281
Naangalia KTN ya Kenya Muda huu Wanalia kwamba Mafuta yamepanda na kuwa Bei juu Mno ikilinganishwa na Nchi jirani kama Tanzania...Mchambuzi huyu anasema Rais wa Kenya amekuwa akipoteza Fedha Nyingi kwa Safari za Ulaya na Amerika akiambatana na Lundo la Watu huku Mkataba Mbovu wa Reli na Wachina ukizidi kuligharimu Taifa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya mtu yeyote yule anaweza akasema kitu chochote kile kinachompendeza, tena live kwenye T.v. ni kitu cha kawaida sana. Ila ni kweli mafuta yamepanda bei.
 
Tatizo lenu ninyi ndio liko hapo, hamsikilizi kile kinachosemwa badala yake mnapoteza nguvu nyingi kuangalia nani aliyesema, kama sio kabila lako au sio kabila shirika na kabila lako basi kila atakachosema lazima mtapinga na kuja na misemo ya our People are targeted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
subiri mkikuyu MK254 aje uone vile atakavyo tumia nguvu kumtetea uhuru kenyatta.

linapofika suala la kutetea interest za kenya, utaifa unawekwa pembeni na ukabila unachukua nafasi ili kumkingia kifua iliyepo madarakani.

Huwa mnanipa raha pale mnabubujikwa na machozi ya mamba na kujifanya watetezi wa Wakenya, ilhali tunawajua mlivyo, nyie ni wale wale.
 
mimi nashangaa sijui kwanini hawa middle income wanalalamika wakati chi nzima ni matajiri wanapesa za kutosha ....tatizo liko wapi kwani
 
nashangaa nchi nzima watu mnapesa uchumi wakati wananchi wenu wana pesa zaidi hata ya nigeria
Tanzania ndio Nigeria ya East Africa, Madini na raslimali za kutosha lakini umasikini wa kutupwa.
 
Kenya mtu yeyote yule anaweza akasema kitu chochote kile kinachompendeza, tena live kwenye T.v. ni kitu cha kawaida sana. Ila ni kweli mafuta yamepanda bei.


Ahaaa haaa haaa

Inategemea unaongelea nini kaka. Ukiongelea issue serious LAZIMA kitu kikupate. Kama unabisha muulize MIGUNA MIGUNA au Musando (ukiweza kumuona)
 
Tanzania ndio Nigeria ya East Africa, Madini na raslimali za kutosha lakini umasikini wa kutupwa.
Pambana na hali yako na ujinga wenu!
Tanzania imeingiaje!
Pathetic DNA walahi!
That’s all
 
Pambana na hali yako na ujinga wenu!
Tanzania imeingiaje!
Pathetic DNA walahi!
That’s all
Ukweli unakuumiza ila mtafika tu pindi mtakapokubali nyinyi ni masikini wa kutupwa.
 
Zero brain yuko angani akiongea kwa mbwembe huku nyumbani kenya mafuta yamepanda.

Ahaaa haaa haaa
Wenyewe wanafurahia kuona Vasco da Gama akizurura huku na huko. Wakifikiri anawaletea maendeleo KUMBE kusuruhisha masuala ya msingi ya NCHI.

CC: MK254
 
Back
Top Bottom