subiri mkikuyu MK254 aje uone vile atakavyo tumia nguvu kumtetea uhuru kenyatta.
linapofika suala la kutetea interest za kenya, utaifa unawekwa pembeni na ukabila unachukua nafasi ili kumkingia kifua iliyepo madarakani.
Tayar mmeshawasiliana hahaha hua hulali wwHuwa mnanipa raha pale mnabubujikwa na machozi ya mamba na kujifanya watetezi wa Wakenya, ilhali tunawajua mlivyo, nyie ni wale wale.
What do u expect ikiwa huyu jamaa ni mkikuyu?subiri mkikuyu MK254 aje uone vile atakavyo tumia nguvu kumtetea uhuru kenyatta.
linapofika suala la kutetea interest za kenya, utaifa unawekwa pembeni na ukabila unachukua nafasi ili kumkingia kifua iliyepo madarakani.
That is a tribalist hate comment. Wakikuyu kwani hawakuongezewa mafuta. Wajua matatu industry major players ni Wakisii na kiongozi wao Mkalenjin. C,S, ni Mkalenjin. Pia nami ni Mkalenjin na siwezi nikajumlisha kuwa WaTanzania wote ni mapumba
Huku Ufipa tunabaguliwa tu eti ni CHADEMA.
Tanzania ndio Nigeria ya East Africa, Madini na raslimali za kutosha lakini umasikini wa kutupwa.nashangaa nchi nzima watu mnapesa uchumi wakati wananchi wenu wana pesa zaidi hata ya nigeria
Kenya mtu yeyote yule anaweza akasema kitu chochote kile kinachompendeza, tena live kwenye T.v. ni kitu cha kawaida sana. Ila ni kweli mafuta yamepanda bei.
Pambana na hali yako na ujinga wenu!Tanzania ndio Nigeria ya East Africa, Madini na raslimali za kutosha lakini umasikini wa kutupwa.
Ukweli unakuumiza ila mtafika tu pindi mtakapokubali nyinyi ni masikini wa kutupwa.Pambana na hali yako na ujinga wenu!
Tanzania imeingiaje!
Pathetic DNA walahi!
That’s all
Zero brain yuko angani akiongea kwa mbwembe huku nyumbani kenya mafuta yamepanda.