hAbari wana JF
Nimezunguka takirban shell za mafuta 7 sasa bila kupata mafanikio ya kuweka mafuta kwenye gari.....
~ je mnaweza kunisaidia yanapatikana wapi sasa?
~ je ni kwanini shell zimefungwa?
~ je ewura inatambua hili / au imesema chochote?
~ au kunanini wakuu?
Nawasilisha!
V
SENGEREMA

Mkuu upo sahihi maana hiyo kampuni ya Shell, sijui kama bado ipo, kweli angeenda hivyo vituo ulivyovitaja...Jaribu Engen,Total,Bigbon,lake oil,Oilcom,camel oil
Mkuu pole sana na adha ya mafuta, ila kuweka mambo sawa Watanzania wengi(hasa vijana wa dotcom) hupenda Kituo cha mafutakuita kukiita Shell, ... kitu ambacho si sahihi hilo ni jina la Kampuni ya mafuta miaka hiyo ya 47, so ni kama BP, OilCom na mengine mengi, so its called a Petrol Station/ kituo cha mafuta...
Hutaki unaacha...

hahahahahaaa aise Upo? google mambo mengineits filling station and not petrol station