Mafuta gani mazuri kwa ngozi kavu?

Mafuta gani mazuri kwa ngozi kavu?

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
6,641
Reaction score
9,400
Naomba kufahamu wakuu,mafuta mazuri yasiyochubua kwa mtu mwenye ngozi kavu.
 
Tumia mawese ndio suluhisho kwa ngozi yako, maana naona hata waifu ndio anayatumia hapa nyumbani, na kila akiamka shuka lazima libaki na rangi ya njano kwambaaaaaali....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaha amigo acha utani
 
Tumia Mafuta ya Transfoma...Ngozi inarudi kuwa Mwororo...!
 
mafuta ya mkia wa kondoo ndo duluhisho LA ngozi kavu chukua mkia wa kondoo uyeyushe kwenye moto utapata mafuta tumia hayo
 
Njoo nikupatie veerox then uchanganye na griseline ya tanga

Hutajuta

0714547830
 
Back
Top Bottom