agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Hahaha amigo acha utaniTumia mawese ndio suluhisho kwa ngozi yako, maana naona hata waifu ndio anayatumia hapa nyumbani, na kila akiamka shuka lazima libaki na rangi ya njano kwambaaaaaali....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh!!!
Ndiyo mwanzo wa kuliwa na panya usiku huuMafuta ya korosho
Walah comrade....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahaha amigo acha utani
Tehh..teehhh....teeeehhhh.....Ndiyo mwanzo wa kuliwa na panya usiku huu
Tumia Mafuta ya Transfoma...Ngozi inarudi kuwa Mwororo...!
Hahaha sawa comrade yangu machoWalah comrade....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Na hapa umesha nilete ugomvi, kesho usipo niona humu ujue nitakua nime pewa kichapo na waifu....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Sasa tusipofanya hivo watakula wapi dada anguNdiyo mwanzo wa kuliwa na panya usiku huu
Hayachubui?Njoo nikupatie veerox then uchanganye na griseline ya tanga
Hutajuta
0714547830
Huchubuki hata,Hayachubui?