Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

Mdau nilipotea ila yale mafuta ya queen elizabeth napofahamu wanauza yaliisha bt embu ni.pm nkupe direction unapoweza kuyapata nduguyangu
 
Mdau nilipotea ila yale mafuta ya queen elizabeth napofahamu wanauza yaliisha bt embu ni.pm nkupe direction unapoweza kuyapata nduguyangu

Weka hapa usaidue wengi mkuu.
 
Sawa mkuu,simzuri sana na direction ila kwenye makutano ya zanaki na samora posta dsm,panda kama unapita burhan hospital,thn kuna dry cleaners thn next.kuda duka la vipodozi na urembo mwingine.hapohapo ulizia.
 
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).

Naomba ushauri nitumie mafuta gani?

Usipoteze muda..karibu ofisi zetu za Oriflame zilizoko Posta Dar au piga namba 0655868643 tukupe unachohitaji,,just give it a try and you will see.
 
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).

Naomba ushauri nitumie mafuta gani?

Mafuta ya nazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…