Mafuta gani mazuri ya kumpakaa mtoto sehemu ya baridi?

Mafuta gani mazuri ya kumpakaa mtoto sehemu ya baridi?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Wajameni naombeni mnijuze mafuta mazuri ya kumpakaa mtoto wa miez nane na kuendelea sehemu ya baridi,maana olive oil mepes so anapauka parachute nayo hivohivo vaseline yamemgomea yalimtoa rashes.
 
Tumia mafuta ya nazi tu, tumia yale ya kupika sio ya viwandani
 
Vaseline yamemgomea yalimtoa rashes,ya nazi yanampaushaa wapendwa!
 
Mtoto wa umri gani? Mimi huwa ninatumia Vaseline tu.
 
Jamani kwa Mtoto wa miaka 0-1 kigezo cha kwanza cha kumchagulia Mafuta au sabuni ni harufu, wa umri huo hapaswi kutumia vitu vyenye harufu kali ili kumuepusha na allergy za Kudumu ukubwani, hivyo ni Vema kutumia Mafuta ya Nazi, sabuni za Vipande etc unless awe na tatizo la ngozi ama vinginevyo itakavyoshauriwa!
 
Back
Top Bottom