Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Nikuuzie mafuta ya mgandoVaseline yamemgomea yalimtoa rashes,ya nazi yanampaushaa wapendwa!
Wanangu yamewakubali sana hasa Baby Johnson Lotion.Jaribu baby Johnson
Ni mazuri kwakweli, mm pia nayatumia kwa ngozi yangu japo kidogo[emoji6]Wanangu yamewakubali sana hasa Baby Johnson Lotion.
movit ya uganda mazuri kweliAu tumia samona jelly au movit jelly mafuta mazuri sana ya Uganda