Mafuta gani ya kujipaka yana gharama zaidi?

Mafuta gani ya kujipaka yana gharama zaidi?

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
4,274
Reaction score
2,935
Ni cerave moisturizing Cream Bei yake ni 70,000/= anayejua yenye gharama zaidi atujuze Uzi tayari.
FB_IMG_1607669408631.jpeg
 
Hayo mafuta ya 70k yanakua na nini? Yanalainisha dhambi ? Au ni multi-purpose, kwenye gari unaweka, mwilini unapaka, yanaongeza nguvu pendwa, ni kilainishi mithili ya K-Y, unapikia n.k ??
 
Back
Top Bottom