Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Hellow jaman ushauri wenu mimi si mweupe wala si mweusi nipo kati asa nataka ning'ae zaid mafuta gani ambayo nikipaka yataning'arisha yani sio ya kuchubua nataka ya kung'arisha ngozi tu pia ngoz yangu ipo normal sio kavu wala ya mafuta..ushaur wenu plzzz!
Huu udongo unafaa kuogea kama sabuni auntie ZainabTunakushauri tumia huu udingo wetu wa ajabu 100% natural, utafanya ngozi yako iwe mororo na yenye mng'aro wa asili:
Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay
Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zainab's Natural Super Clay
Huu udongo unafaa kuogea kama sabuni auntie Zainab