DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jun 23, 2025 #1 Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran. Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa Kuna hofu kuwa huenda bei hiyo ikapanda zaidi endapo Iran itafunga lango la Hormuz kama sehemu ya kulipiza kisasi. Lango hilo hupitisha wastani wa asilimia 20 ya mafuta ghafi duniani.
Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran. Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa Kuna hofu kuwa huenda bei hiyo ikapanda zaidi endapo Iran itafunga lango la Hormuz kama sehemu ya kulipiza kisasi. Lango hilo hupitisha wastani wa asilimia 20 ya mafuta ghafi duniani.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,233 Reaction score 51,648 Jun 23, 2025 #3 Your browser is not able to display this video.
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Jun 23, 2025 #4 KOBAZI LEO WAKO MAPANGONI HAWANA LA KUONGEA
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 23, 2025 #5 Hatari sana