Mafuta hayo $ 47 sasa Jumatano hii sijui EWURA watatuambia nini

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
494
Reaction score
522
Imekuwa ni masikitiko makubwa sana kwamba mafuta yameshuka a zaidi ya asilimia 50 na shilingi imeshuka kwa asilimia 10 to 15 lakini mafuta kwenye pump hayashuka tunanua kama yalivyokuwa $ 90 kwa pipa naamini sasa jumatano hii Ewura watafanya haki maana inasikitisha hakuna maelezo ya kujitosheleza
 

Attachments

  • crude oil picture today.jpg
    98.3 KB · Views: 75
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…