Takwimu za dhahabu au mikataba kama haziwekwi wazi huwezi kujua kipato cha dhahabu kimeongezeka kiasi gani. Kila kitu ni siri za nchi.
Siri za nchi si ndiyo mfumo alioujenga na kutuachia Nyerere? Bei za dhahabu zinaweza kuwa juu lakini hujui mikataba inasemaje. Vyote ni siri za nchi. Wananchi wanabaki gizani.Kila kitu sirini kwa manufaa ya nani?
Bei ya dhahabu juu ni wazi kwa tani za dhahabu tunayozalisha kwa mwaka tunavuna zaidi kama nchi.
Kwanini mapato ya ziada ya dhahabu yasiwepo stabilize bei za mafuta nchini? Bado hata tozo ya 100/- ya mafuta nayo serikali inataka?
Watawala wetu hawa wana roho ngumu sana.
Siri za nchi si ndiyo mfumo alioujenga na kutuachia Nyerere? Bei za dhahabu zinaweza kuwa juu lakini hujui mikataba inasemaje. Vyote ni siri za nchi. Wananchi wanabaki gizani.