sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji.
Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar ni kama kamkoa?
Kiufupi Wazanzibar wana akili ya kujitambua thamani yao, huku kwetu ni akili za darasani kwajili ya mtu kupata cheo