Mafuta (lotion) ya kujipaka wanaume na athari zake

Nimetumia NIVEA lotion (white) kwa miaka Zaidi ya 11, nimeona zina ishu. NIMEAMUA KUANZA KUTUMIA ZA KAWAIDA
 
Nivea nzuri ni ile ya blue (kama round flani hivi). Yenye almond oil.
 
Umeamua kujiweka wazi kuwa bado unaishi kwa mama siku ukijitegemea utayaona haya tunayojadiri.
Wanaume kujadili aina za lotion ni umama.. Hivi wanaume wa Dar mna nini? Tena hizo lotion mnapaka hadi makalioni.. Mh, mm mafuta yoyote ya mgando nayoyakuta nyumbani napaka usoni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…