pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 239
- 221
- Thread starter
-
- #41
Eti mafuta utakayokutana nayo ww unapaka hayo hayo kua makini asije angukia ya dada ako ukajikuta ghafla umekua mzungu feki kinachofata baada ya hapo mm naona aibu kukitajaHahaaaa.. Wewe punga kabisa endelea kupaka lotion kwenye makalio
Utanishukuru baadae sana ukitaka:tafuta mafuta yanaitwa africana ya nazi chupa ndogo 7500 kubwa 15000 paka kama miezi miwili ngozi itakuwa laini balaa ila haibadiriki baada ya hapo anza kupaka minara au halisi ni 1500 tu.nimeyatumia sana na naendelea kuyatumia nikipata helanimeshatumia lotion hizi Nivea for men,Vaseline for men,Clere men zote naona hazieleweki!nimerudi kwenye samli(just kidding!)
Haya mkuu wewe mwanaume wa wapi?
Tumia hii kitu 100% naturalView attachment 1251602