Mafuta mazuri kwa ajili ya kuzifanya dreadrock zikue kwa haraka

Mafuta mazuri kwa ajili ya kuzifanya dreadrock zikue kwa haraka

Nyangwada

Senior Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
143
Reaction score
183
Habar waungwana. Nina kama miezi miwili toka nianze kufuga dreadrock, je nitumie mafuta gani ili ziweke kukua kwa haraka?
 
Dreadlocks uwe mvumilivu zinakua taratibu na kulock pia
 
Tumia Castor oil ile ya kienyeji a.k.a original japo ina harufu mbaya ila vumilia ndio urembo.... tumia na mafuta ya Kuza wanayasifia tho me sijawahi kutumia.
 
Tumia mafuta ya nazi og.tengeneza mwenyewe
 

Attachments

  • WA-IMG-20220422-51da7cfe.edit1.edit1.jpg
    WA-IMG-20220422-51da7cfe.edit1.edit1.jpg
    17.2 KB · Views: 84
Natamani sana dread ila sina Nywele nzuri!
 
Back
Top Bottom