Mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta kwa wanaume

Ngozi yako ya mafuta kuanzia usoni mpaka mwilini?
 
Mimi nina ngozi yenye mafuta pia, so huwa sipaki mafuta kabisa, usoni wala mwilini. Nilijaribu baadhi ya lotions nikaanza kupata vichunusi.
 
Ngozi yako ya mafuta kuanzia usoni mpaka mwilini?
Mimi pia Nina changamoto hiyo ya kuwa na ngozi ya mafuta hasa usoni na kifuani kusababisha natokwa na vichunusi sehemu hizo.
Unaweza kutusaidia suluhisho lake!!?
 
Habari Wadau!
Naomba mnishauri mafuta mazuri ya kiume kwa ngozi ya mafuta...
Asanteni sanaa

Kimsingi unatakiwa uachane na mafuta mazito kama baby care kwa kuwa Ngozi inamafuta; badala yake utumie Lotion. Sasa kujua ni ipi itaendana na ngozi yako hapo ndio sina utaalam
Tofauti na hapo, tumia mafuta ya maji (mepesi); nafikiri ndio sababu ulishauriwa mafuta ya nazi.
Kama utaweza kupata mafuta ya Baby Johnson ya maji au jamii ya hayo itakuwa nzuri pia
 
Thank you so much
 
Nivea Deep Impact for Men....Normal skin
 
Back
Top Bottom