Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgando au lotion???
Nimepaka babyjohson oil ila inanipa harara...sijui kwa mgando itakuwaje??
Naomba nieleweshe vizuri.....hizi ni aina mbili za mafuta au moja??paka Ultimate organics cocoa and shea butter lotion/body cream/oil.. its very nice kwa mwilini.. ila kwa usoni sijui kwako itakuaje japo to me haina shida napaka tu.
Mimi ni mwanamke....kwanza ni she or he , kwa mimi he natumia sana mafuta yatokayo zambia aina zote specificaly lotion, kuna kitu kinaitwa mixer tanzania nzima hamna lakini zambia yapo kwa sisi wanaume ni mazuri sana na kwa bei poa , yatafute utaja niambia au check na watu wa malori hata kamoja watakuletea kama upo dar
Ntayapata wapi???
Naomba nieleweshe vizuri.....hizi ni aina mbili za mafuta au moja??
1)Ultimate organic cocoa....
2)Shea butter lotion/body cream/oil...
Mafuta safi ya nazi.
Kuna nazi chujia tui zito then chemsha mpaka yabaki mafuta. Hayana mpinzani nakwambia.
Kama utaona tabu kutengeneza mwenyewe nunua parachute coconut oil.
Ukitaka lotion tumia za Victoria secret garden au products za oriflame.