Mafuta mgando wakati wa tendo wakati wa tendo hayafai, tumia ya kimiminika

Mafuta mgando wakati wa tendo wakati wa tendo hayafai, tumia ya kimiminika

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,189
Reaction score
1,217
Petroleum Jelly au Mafuta Mgando Yaligundulika Mwaka 1869 wakati drillers walikua wanachimba mafuta ndo wakakutana na hii byProduct Ya Oil,ni hydrophobic(inazuita unyevu-Unyevu) In nature ndo maana inatumika kama Lubricant WAKATI WA NGONO(SEX)
Ni cheap na easily affordable na haitaji mbwembwe nyingi tuangalie Faida na Hasara za kutumia mafuta mgando wakati wa NGONO

FAIDA(PROS)
1.Maana ni hydrophobic haitabreak down kwenye sehemu za unyevu Ivo ni Lubricant Imara sana kwenye positions mbali mbali...Alafu pia hayakauki kama water based lubricants(vilainishi vyenye maji) mfano saliva/mate kwaio hamna kuchomoa chomoa upake [emoji12]

HASARA(CONS)
1.Mafuta mgando huvunja(breakdown) polythene na rubber products ivo huadhiri condoms za aina zote fasta sana,hukai hata dakika tatu ishapasuka

2.Mafuta Mgando yanachangia ukiaji wa Yeast ivyo kusababisa infections kwenye papuchi mfano viganosis ambayo inaadhiri sana kiuno

Sasa Instead Of kutumia Petroleum Jelly(Mafuta Mgando) Jaribu water/silicon based lubricants zipo salama zaidi
 
Dah, nilijua unazungumzia lubricants za mitambo mikubwa mikubwa ya mgoni.
 
unahamasisha ngono mkuu,haya kazi njema
 
kina kaoge bna.hamjui serikali imepiga marufuku vilainishi ww bado unahamasisha
 
Duh!!. Kama Mambo Yenyewe Ndiyo Haya Basi Wakubwa Mnafaidi Sana.
 
Back
Top Bottom