Mafuta na sabuni kwa ngozi yenye mafuta mengi (oily skin)

ILLUNGU

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
35
Reaction score
5
Watu wengi wana chunusi na ngozi zenye mafuta mengi, naomba kujua tiba.
 
Gold touch ya blue, fair and lovely.. asali na limao paka usoni asubuh na jioni.
 
Tafuta mafuta ya H20 ya lemon na sabuni ya kopakabana itakusaidia saaana maana nilikuwa na chunusi mfano hakuna sasa hivi uso umekuwa km Wa kachangaaa
 
Tafuta mafuta ya H20 ya lemon na sabuni ya kopakabana itakusaidia saaana maana nilikuwa na chunusi mfano hakuna sasa hivi uso umekuwa km Wa kachangaaa

Kopakabana haina kemikali inayoweza kuchubua ngozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…