mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Kuna vigogo wanatumia shida za wananchi kuishi kama wako peponi kupitia huduma za jamii.
Mafuta ni tatizo lingine linalosumbua maskini na kufanya waishi maisha ya juu. Kwa sasa matajiri wanazuia mafuta kushinikiza bei ipande na wanaficha makusudi kabisa. Pita leo baadhi ya vituo utaambiwa hakuna mafuta. Mamlaka zinajua haya na zipo kimya bila neno lolote.