Nchi ilishauzwa siku mingi,ndiyo maana mkaambiwa kama hamuwezi hamieni Burundi mbona hamtaki kuelewa!!?Kuna vigogo wanatumia shida za wananchi kuishi kama wako peponi kupitia huduma za jamii.
Mafuta ni tatizo lingine linalosumbua maskini na kufanya waishi maisha ya juu. Kwa sasa matajiri wanazuia mafuta kushinikiza bei ipande na wanaficha makusudi kabisa. Pita leo baadhi ya vituo utaambiwa hakuna mafuta. Mamlaka zinajua haya na zipo kimya bila neno lolote.
π π π chura kiziwi....Chura kiziwi alikuta mafuta yanauzwa 2,000
Leo hii mafuta yanauzwa elfu 3,500 ndani ya miaka 3 tu!
Huyu bibi akikaa miaka 10 mafufuta yatauzwa elfu 10