Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 253
- 771
Nipo Mbezi beach. 5ltrs ni 28,500Lita 5 inakuwa shingap na upo eneo gani kwa dsm
insha'Allah ntakujua kukuungisha nikituo gani cha gari cha kushukia hapoNipo Mbezi beach. 5ltrs ni 28,500
Ndio yanaharufu yake. Ila nauza kwa jumla tu kwanzia dumu 30Ila ni alizeti pure kabisa kutoka shamba napenda ikiwa na kiarufu chake cha alzeti
Karibu bei ni 28,500 kwa jumla25k/5lt nataka dumu 100
Ila vp mtu akitaka kidumu kimoja au viwili siunauzaKaribu bei ni 28,500 kwa jumla
Tunauza kwa jumla tu tajiri. mzigo mkubwaIla vp mtu akitaka kidumu kimoja au viwili siunauza
Lazima utauzaHabari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida.
Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS
Package: 20Ltrs & 5Ltrs
Bei: Tsh 6,000 per Ltr
Napatikana: Dar Es Salaam
MOQ: DUMU 50 (20LTRS)
Mawasiliano: 0652070444
Karibu Sana
View attachment 3550080View attachment 3550081