Mafuta usoni

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,678
Habari?
Hivi dawa ya mafuta mengi yanayojitokeza usoni hasa pembezoni mwa pua uwa yanatolewa vipi au kwa dawa ipi?
 
Habari?
Hivi dawa ya mafuta mengi yanayojitokeza usoni hasa pembezoni mwa pua uwa yanatolewa vipi au kwa dawa ipi?
Dah...acha kula chakula chenye mafuta mengi....kitimoto na nyama punguza sana au acha kabisa...kula matunda na mbogamboga Hadi uvimbiwe...fanya mazoezini ya kukutoa jasho usoni...osha uso Mara kwa mara kwa maji ya uvuguvugu....ukipata wasaa ingia sauna... Lete mrejesho baada ya wiki 2 [emoji41]

Dr. RM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…