ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Bei ya dumu la alizeti ilifikia 97k baadae ikaja kuwa 85k ikafikia 80k week iliyopita. Leo limeshuka mpk 74k na Bado litaendelea kushuka maana ndo msimu inaweza kufikia Bei ya zamani ya 56k.
Unaonaje ikifikia 56k ukawekeza hata madumu 200 ukalipia 1120000 baadae Mwezi wa 10,11,12 Bei Ina panda Mara mbili unajua milioni kumi iliyonyoka.
Karibuni singida.
Unaonaje ikifikia 56k ukawekeza hata madumu 200 ukalipia 1120000 baadae Mwezi wa 10,11,12 Bei Ina panda Mara mbili unajua milioni kumi iliyonyoka.
Karibuni singida.