Mafuta ya alizeti Sasa yanashuka bei

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Bei ya dumu la alizeti ilifikia 97k baadae ikaja kuwa 85k ikafikia 80k week iliyopita. Leo limeshuka mpk 74k na Bado litaendelea kushuka maana ndo msimu inaweza kufikia Bei ya zamani ya 56k.

Unaonaje ikifikia 56k ukawekeza hata madumu 200 ukalipia 1120000 baadae Mwezi wa 10,11,12 Bei Ina panda Mara mbili unajua milioni kumi iliyonyoka.

Karibuni singida.

 
ilikiwaje yakapanda!!!

maana haya ya singida hapa hapa nyumbani.
 
Samahani huoni kama picha ulizoweka zinashusha thamani ya bidhaa yako /yenu?
Hayo ndiyo mazingira halisi ya viwanda vyetu vya kati au chini. na huo weusi usikupe shida sana mkuu kwani huo siyo uchafu bali ni rangi ya mafuta ambayo hayajachujwa bado pamoja na mashudu[emoji3]
 
Kwa hiyo hamjui viwanda viko mpaka vijijini..process ya mwisho ya kusafisha inatoa kitu kizuri ambacho kinaweza kusafirishwa mpaka nje
Ukivuliwa nguo, chutama.
Kiwanda kiwe mjini, kijijini, USAFI ni jambo la kuzingatia.

Waambie tu wadau, utarekebisha.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wakuu wa mikoa wakianza kupia msako wa waliojilimbikizia mafuta unaweza ukapigwa na mvua ya uhujumu uchumi
 
Wenye viwanda vya ndani, ninawaomba mjitahidi kuwa wasafi hasa mnaozalisha bidhaa za kula.Usafi msisubiri Bwana afya au mamlaka kama TMDA na TBS
Ongezea na OSHA

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…