Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana impurities kama fatty acids na sumu kuvu ya kwenye maganda hali inayopelekea harufu. Kubwa zaidi mafuta haya ni Cholestrol free.
Wale wenye familia ama bachelors sote tunaelewa mafuta mazuri ni kiungo muhimu katika mapishi.
Waweza nicheki anytime of the day nikakuletea gallon hio ya 5 litres kwa mliopo Dar.
Bei ni 30,000TZS.
Regards,
Extrovert.